Saturday, March 11, 2017

Mazoezi kwa Afya

Watumishi mbalimbali wa Serikali Wilayani Ukerewe leo Tarehe 11/03/2017 wamejitokeza kufanya mazoezi ya viungo ili kuweka sawa miili na kuepukana na magonjwa yanayotokana na ukosefu wa mazoezi. Pia ni agizo la serikali kama lilivyo tolewa na Mhe. Samia S. Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.











No comments:

Post a Comment